Hesabu 10:6 BHN

6 Ishara hiyo ikipigwa mara ya pili, wale wa kambi za upande wa kusini wataanza kuondoka. Ishara hiyo ya tarumbeta itatolewa kila wakati wa kuanza safari.

Kusoma sura kamili Hesabu 10

Mtazamo Hesabu 10:6 katika mazingira