Hesabu 10:8 BHN

8 Wazawa wa Aroni, makuhani, ndio watakaopiga tarumbeta hizo. Utaratibu huo utafuatwa daima katika vizazi vyenu vyote.

Kusoma sura kamili Hesabu 10

Mtazamo Hesabu 10:8 katika mazingira