Hesabu 11:10 BHN

10 Mose alisikia watu wakilia katika familia zote, kila mtu penye lango la hema lake. Basi, hasira ya Mwenyezi-Mungu iliwaka sana; naye Mose alichukizwa.

Kusoma sura kamili Hesabu 11

Mtazamo Hesabu 11:10 katika mazingira