17 Nitashuka huko na kuzungumza nawe; nitachukua sehemu ya roho niliyokupa, niwape watu hao. Nao watabeba jukumu la kuwatunza watu hawa pamoja nawe, usije ukaubeba mzigo huo peke yako.
Kusoma sura kamili Hesabu 11
Mtazamo Hesabu 11:17 katika mazingira