Hesabu 11:20 BHN

20 bali kwa muda wa mwezi mzima! Mtaila hadi iwatoke puani, mpaka muikinai. Yote hayo ni kwa sababu mmemkataa Mwenyezi-Mungu aliye hapahapa miongoni mwenu, na kulia mbele yake mkisema, ‘Kwa nini tulitoka Misri?’”

Kusoma sura kamili Hesabu 11

Mtazamo Hesabu 11:20 katika mazingira