29 Lakini Mose akamjibu, “Je, unaona wivu kwa ajili yangu? Laiti Mwenyezi-Mungu angewapa watu wake wote roho yake nao wakawa manabii!”
Kusoma sura kamili Hesabu 11
Mtazamo Hesabu 11:29 katika mazingira