Hesabu 11:8 BHN

8 Watu walizungukazunguka na kuikusanya, kisha waliisaga kwa mawe ya kusagia au waliitwanga kwa vinu, halafu waliitokosa vyunguni na kutengeneza maandazi. Ladha yake ilikuwa kama ya maandazi yaliyokaangwa kwa mafuta.

Kusoma sura kamili Hesabu 11

Mtazamo Hesabu 11:8 katika mazingira