10 Wingu lilipoondoka juu ya hema la mkutano, Miriamu alionekana ana ukoma, mweupe kama theluji. Aroni alipogeuka na kumtazama Miriamu, alishangaa kuona kuwa ameshikwa na ukoma.
Kusoma sura kamili Hesabu 12
Mtazamo Hesabu 12:10 katika mazingira