Hesabu 12:4 BHN

4 Halafu ghafla, Mwenyezi-Mungu akawaambia Mose, Aroni na Miriamu, “Njoni katika hema la mkutano, nyinyi watatu.” Basi, wote watatu wakaenda kwenye hema la mkutano.

Kusoma sura kamili Hesabu 12

Mtazamo Hesabu 12:4 katika mazingira