Hesabu 13:23 BHN

23 Walipofika katika Bonde la Eshkoli, watu hao walikata shada la mzabibu lililokuwa na matunda mengi nalo lilibebwa na watu wawili juu ya mti. Walichukua pia makomamanga kadhaa na tini.

Kusoma sura kamili Hesabu 13

Mtazamo Hesabu 13:23 katika mazingira