13 Lakini Mose akamwambia Mwenyezi-Mungu, “Uliwatoa watu hawa nchini Misri kwa nguvu yako. Wamisri watakaposikia kwamba umewatenda hivyo watu wako,
Kusoma sura kamili Hesabu 14
Mtazamo Hesabu 14:13 katika mazingira