Hesabu 14:22 BHN

22 hakuna hata mmoja wao ambaye amewahi kuuona utukufu wangu na miujiza yangu niliyoifanya Misri na jangwani kisha akazidi kunijaribu mara hizi zote bila ya kutii sauti yangu,

Kusoma sura kamili Hesabu 14

Mtazamo Hesabu 14:22 katika mazingira