Hesabu 14:38 BHN

38 Lakini Yoshua mwana wa Nuni, na Kalebu mwana wa Yefune, walibaki hai miongoni mwa wale watu waliokwenda kuipeleleza nchi.

Kusoma sura kamili Hesabu 14

Mtazamo Hesabu 14:38 katika mazingira