Hesabu 14:6 BHN

6 Yoshua, mwana wa Nuni, na Kalebu, mwana wa Yefune, ambao walikuwa miongoni mwa wale watu waliokwenda kuipeleleza hiyo nchi, wakazirarua nguo zao

Kusoma sura kamili Hesabu 14

Mtazamo Hesabu 14:6 katika mazingira