Hesabu 15:14 BHN

14 Na kama kuna mgeni anayeishi pamoja nanyi kwa muda au daima, akitaka kutoa sadaka yake kwa kuiteketeza, harufu impendezayo Mwenyezi-Mungu, mtu huyo atafanya kama mnavyofanya nyinyi.

Kusoma sura kamili Hesabu 15

Mtazamo Hesabu 15:14 katika mazingira