Hesabu 16:13 BHN

13 Je, ni jambo dogo kwamba umetutoa Misri, nchi inayotiririka maziwa na asali, ili uje kutuua humu jangwani? Tena, unajifanya mkuu wetu!

Kusoma sura kamili Hesabu 16

Mtazamo Hesabu 16:13 katika mazingira