Hesabu 16:18 BHN

18 Basi, kila mmoja wao akachukua chetezo chake, akatia makaa ya moto na ubani, kisha wakaenda na kusimama mlangoni mwa hema la mkutano, pamoja na Mose na Aroni.

Kusoma sura kamili Hesabu 16

Mtazamo Hesabu 16:18 katika mazingira