Hesabu 16:33 BHN

33 Basi, wao, pamoja na vyote vilivyokuwa vyao wakashuka kuzimu hali wangali hai. Ardhi ikawafunika, wote wakatoweka.

Kusoma sura kamili Hesabu 16

Mtazamo Hesabu 16:33 katika mazingira