Hesabu 16:39 BHN

39 Basi, kuhani Eleazari alivichukua vyetezo hivyo vya shaba ambavyo vililetwa mbele ya Mwenyezi-Mungu na wale watu walioteketezwa vikafuliwa kuwa kifuniko cha madhabahu.

Kusoma sura kamili Hesabu 16

Mtazamo Hesabu 16:39 katika mazingira