Hesabu 16:5 BHN

5 Kisha akamwambia Kora na wafuasi wake, “Kesho asubuhi, Mwenyezi-Mungu ataonesha ni nani aliye wake na ni nani aliye mtakatifu, naye atakayemchagua, atamwezesha kukaribia madhabahuni.

Kusoma sura kamili Hesabu 16

Mtazamo Hesabu 16:5 katika mazingira