Hesabu 17:8 BHN

8 Kesho yake asubuhi, Mose alikwenda katika hema la mkutano. Humo, aliikuta fimbo ya Aroni wa kabila la Lawi, imechipua na kutoa vichipukizi vilivyochanua maua na kuzaa matunda mabivu ya mlozi.

Kusoma sura kamili Hesabu 17

Mtazamo Hesabu 17:8 katika mazingira