Hesabu 18:1 BHN

1 Basi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Aroni, “Lawama zote kuhusu huduma ya hema takatifu, zitakuwa juu yako, wanao na ukoo wako; kadhalika makosa yanayoambatana na ukuhani wako wewe mwenyewe na wanao mtahusika.

Kusoma sura kamili Hesabu 18

Mtazamo Hesabu 18:1 katika mazingira