Hesabu 18:11 BHN

11 “Pia, vitu vingine vyote watakavyonitolea Waisraeli kama sadaka za kutikisa, vitakuwa vyako. Ninakupa wewe, wanao na binti zako kuwa haki yenu milele. Mtu yeyote katika jamaa yako asiye najisi anaweza kula vitu hivyo.

Kusoma sura kamili Hesabu 18

Mtazamo Hesabu 18:11 katika mazingira