Hesabu 18:28 BHN

28 Basi, ndivyo mtakavyonitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka za zaka mtakazopokea kutoka kwa Waisraeli. Zaka hiyo mtakayonitolea mimi Mwenyezi-Mungu mtampa kuhani Aroni.

Kusoma sura kamili Hesabu 18

Mtazamo Hesabu 18:28 katika mazingira