Hesabu 18:30 BHN

30 Kwa hiyo utawaambia: Mkishanitolea sehemu bora kuliko zote, sehemu itakayobakia itakuwa yenu, kama ilivyo kwa mkulima ambaye huchukua kinachobakia baada ya kutoa sadaka zake za mazao ya kwanza ya nafaka na zabibu.

Kusoma sura kamili Hesabu 18

Mtazamo Hesabu 18:30 katika mazingira