Hesabu 18:32 BHN

32 Hamtakuwa na hatia yoyote mkila vitu hivyo, iwapo kama mmemtolea Mwenyezi-Mungu sehemu bora kuliko zote, nanyi hamtavikufuru vitu vitakatifu vya Waisraeli na kufa.”

Kusoma sura kamili Hesabu 18

Mtazamo Hesabu 18:32 katika mazingira