Hesabu 19:5 BHN

5 Ngombe huyo mzima atateketezwa kwa moto mbele ya kuhani. Kila kitu chake kitateketezwa; ngozi, nyama, damu na utumbo wake.

Kusoma sura kamili Hesabu 19

Mtazamo Hesabu 19:5 katika mazingira