Hesabu 20:14 BHN

14 Mose alipeleka wajumbe kutoka Kadeshi kwa mfalme wa Edomu akamwambia: “Ndugu yako, Israeli, asema hivi: Wewe wazijua taabu zote tulizozipata.

Kusoma sura kamili Hesabu 20

Mtazamo Hesabu 20:14 katika mazingira