Hesabu 20:21 BHN

21 Basi, Waedomu wakakataa kuwapa ruhusa Waisraeli kupita katika mipaka yao. Waisraeli wakageuka na kushika njia nyingine.

Kusoma sura kamili Hesabu 20

Mtazamo Hesabu 20:21 katika mazingira