Hesabu 20:6 BHN

6 Hapo, Mose na Aroni waliondoka kwenye umati wa watu, wakaenda kusimama kwenye mlango wa hema la mkutano, wakasujudu. Basi, utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukawatokea,

Kusoma sura kamili Hesabu 20

Mtazamo Hesabu 20:6 katika mazingira