Hesabu 21:13 BHN

13 Kutoka huko walisafiri, wakapiga kambi kaskazini ya mto Arnoni, ambao hutiririka kutoka katika nchi ya Waamori na kupitia jangwani. Mto Arnoni ulikuwa mpaka kati ya Wamoabu na Waamori.

Kusoma sura kamili Hesabu 21

Mtazamo Hesabu 21:13 katika mazingira