Hesabu 21:16 BHN

16 Kutoka huko Waisraeli walisafiri mpaka Beeri; yaani kisima ambapo Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, “Wakusanyeni watu pamoja, nami nitawapa maji.”

Kusoma sura kamili Hesabu 21

Mtazamo Hesabu 21:16 katika mazingira