Hesabu 21:23 BHN

23 Lakini Sihoni hakuwaruhusu watu wa Israeli wapite katika nchi yake. Aliwakusanya watu wake, akaenda Yahasa Jangwani kuwashambulia Waisraeli.

Kusoma sura kamili Hesabu 21

Mtazamo Hesabu 21:23 katika mazingira