Hesabu 21:26 BHN

26 Heshboni ulikuwa mji wa Sihoni mfalme wa Waamori, ambaye hapo awali alikuwa amepigana na mfalme wa Moabu na kuiteka nchi yake yote mpaka mto Arnoni.

Kusoma sura kamili Hesabu 21

Mtazamo Hesabu 21:26 katika mazingira