Hesabu 21:29 BHN

29 Ole wenu watu wa Moabu!Mmeangamizwa, enyi watu wa mungu Kemoshi!Umewafanya watoto wenu wa kiume kuwa wakimbizi,binti zako umewaacha wachukuliwe matekampaka kwa Sihoni, mfalme wa Amori.

Kusoma sura kamili Hesabu 21

Mtazamo Hesabu 21:29 katika mazingira