Hesabu 21:3 BHN

3 Mwenyezi-Mungu akalisikia ombi lao, akawapa ushindi juu ya Wakanaani. Waisraeli wakawaangamiza kabisa Wakanaani pamoja na miji yao. Kwa hiyo mahali hapo pakaitwa Horma.

Kusoma sura kamili Hesabu 21

Mtazamo Hesabu 21:3 katika mazingira