Hesabu 21:5 BHN

5 Basi, wakaanza kumnungunikia Mungu na Mose, wakisema, “Kwa nini mmetutoa Misri tuje tukafie humu jangwani? Humu hamna chakula wala maji; nasi tumechoshwa na chakula hiki duni.”

Kusoma sura kamili Hesabu 21

Mtazamo Hesabu 21:5 katika mazingira