Hesabu 22:1 BHN

1 Waisraeli walianza safari tena, wakaenda kupiga kambi yao katika tambarare za Moabu, mashariki ya mto Yordani, kuelekea mji wa Yeriko.

Kusoma sura kamili Hesabu 22

Mtazamo Hesabu 22:1 katika mazingira