Hesabu 22:14 BHN

14 Kwa hiyo maofisa wa Moabu wakaondoka, wakarudi kwa Balaki, wakamwambia, “Balaamu amekataa kuja pamoja nasi.”

Kusoma sura kamili Hesabu 22

Mtazamo Hesabu 22:14 katika mazingira