Hesabu 22:18 BHN

18 Lakini Balaamu akawajibu watumishi wa Balaki, “Hata kama Balaki atanipa nyumba yake imejaa fedha na dhahabu, mimi sitaweza kuvunja amri ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, kuhusu jambo lolote, dogo au kubwa.

Kusoma sura kamili Hesabu 22

Mtazamo Hesabu 22:18 katika mazingira