Hesabu 22:20 BHN

20 Basi, Mungu akamjia Balaamu usiku huo, akamwambia, “Kama watu hawa wamekuja kukuita, nenda pamoja nao, lakini fanya tu kile nitakachokuambia.”

Kusoma sura kamili Hesabu 22

Mtazamo Hesabu 22:20 katika mazingira