Hesabu 22:25 BHN

25 Punda alipomwona malaika huyo wa Mwenyezi-Mungu, akajisukumiza ukutani na kuubana mguu wa Balaamu hapo. Kwa hiyo Balaamu akampiga tena huyo punda.

Kusoma sura kamili Hesabu 22

Mtazamo Hesabu 22:25 katika mazingira