Hesabu 22:28 BHN

28 Hapo Mwenyezi-Mungu akakifunua kinywa cha huyo punda, akamwambia Balaamu, “Nimekutendea nini hata ukanipiga mara hizi tatu?”

Kusoma sura kamili Hesabu 22

Mtazamo Hesabu 22:28 katika mazingira