Hesabu 22:3 BHN

3 Yeye pamoja na Wamoabu wakashikwa na hofu kubwa juu ya Waisraeli. Waliwaogopa hasa kwa sababu ya wingi wao.

Kusoma sura kamili Hesabu 22

Mtazamo Hesabu 22:3 katika mazingira