Hesabu 22:5 BHN

5 akapeleka ujumbe kwa Balaamu, mwana wa Beori, huko Pethori, karibu na mto Eufrate, nchini Amawi. Alimwambia Balaamu hivi: “Kuna taifa ambalo limetoka Misri, nalo limeenea kila mahali nchini, tena linatishia kuchukua ardhi yangu.

Kusoma sura kamili Hesabu 22

Mtazamo Hesabu 22:5 katika mazingira