Hesabu 23:2 BHN

2 Balaki akafanya kama Balaamu alivyosema. Basi, wakatoa juu ya kila madhabahu kafara fahali mmoja na kondoo dume mmoja.

Kusoma sura kamili Hesabu 23

Mtazamo Hesabu 23:2 katika mazingira