Hesabu 23:24 BHN

24 Tazama! Waisraeli wameinuka kama simba jike,wanasimama kama simba dume.Ni kama simba asiyelala mpaka amalize mawindo yake,na kunywa damu ya mawindo.”

Kusoma sura kamili Hesabu 23

Mtazamo Hesabu 23:24 katika mazingira