Hesabu 23:28 BHN

28 Basi, Balaki akamchukua Balaamu mpaka kwenye kilele cha Mlima Peori, ambapo mtu akisimama anaona jangwani.

Kusoma sura kamili Hesabu 23

Mtazamo Hesabu 23:28 katika mazingira