Hesabu 24:1 BHN

1 Sasa Balaamu alitambua kwamba Mwenyezi-Mungu alipenda kuwabariki Waisraeli, kwa hiyo hakwenda kupiga bao tena, akawa anaangalia jangwani.

Kusoma sura kamili Hesabu 24

Mtazamo Hesabu 24:1 katika mazingira