Hesabu 24:6 BHN

6 Ni kama mabonde yanayotiririka maji,kama bustani kandokando ya mto,kama mishubiri aliyopanda Mwenyezi-Mungu,kama mierezi kandokando ya maji.

Kusoma sura kamili Hesabu 24

Mtazamo Hesabu 24:6 katika mazingira